Mafunzo kwa Wajumbe wa Bodi ya AAAB yalifanyika ktk ukumbi wa Nashera Hotel - Morogoro mnamo tarehe 9 Desemba 2025. Mafunzo hayo yalikuwa na nia ya kuwaelekeza Wajumbe namna bora ya kutekeleza majukumu yao
Mwenyekiti wa Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (AAAB) Jaji Mstaa...
Mabadiliko Ya Ratiba Ya Mkutano Wa Pili Wa Wadau Na Washirika Mabadil...