Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Inachukua wiki 4 za kazi baada ya rufaa kusikizwa.
1. Wasilisha barua yako ya rufaa yenye kiambatanisho cha maamuzi ya Bodi ya NBAA
2. Ainisha maeneo ambayo unahisi uamuzi wa Bodi ya NBAA haukufanyika sahihi
2. Ainisha maeneo ambayo unahisi uamuzi wa Bodi ya NBAA haukufanyika sahihi
Hapana AAAB haihusiki na Maswala yoyote kuhusu mitiani.