MAJUKUMU MAKUU
- Kusikiliza na kuamua rufaa zinazowasilishwa na wanachama wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) ambao hawakuridhika na maamuzi ya Bodi ya Uongozi ya NBAA kuhusu masuala ya kinidhamu na kitaaluma.
- Kutoa elimu na kuongeza uelewa kwa wadau na umma kuhusu Kanuni za Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (AAAB) pamoja na sheria nyingine zinazohusu taaluma ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu.