United Republic of Tanzania
Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu
SERA YA FARAGHA

SERA YA FARAGHA

Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu inachukulia faragha ya wateja na wanaotembelea tovuti yetu na watumiaji wa mifumo yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotembelea au kuwasiliana na tovuti yetu au wafanyakazi.