Kuelimisha na kuongeza uelewa kwa wadau na umma kuhusu Kanuni za Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (AAAB) pamoja na sheria nyingine zinazohusu taaluma ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu.