United Republic of Tanzania
Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu
KANUSHO

KANUSHO

Tunatoa huduma kwa taasisi za Serikali na pale ambapo Serikali ina maslahi, baadhi yake yakiwa nje ya udhibiti wetu.

Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (AAAB) inahakikisha ubora wa huduma kwa kuzingatia utaalamu, uwajibikaji, uadilifu, uaminifu, kutoa huduma bila upendeleo na uhuru.