Kusikiliza na kuamua rufaa zinazowasilishwa na wanachama wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) ambao hawakuridhika na maamuzi ya Bodi ya Uongozi ya NBAA kuhusu masuala ya kinidhamu na kitaaluma.