United Republic of Tanzania
Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu
SISI NI NANI

SISI NI NANI

Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (AAAB) ni taasisi ya nusu mahakama (quasi-judicial institution) iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu, Sura ya 286 (Accountants and Auditors (Registration) Act, Cap. 286). AAAB inaongozwa na Kanuni za Bodi ya Rufani ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Mwaka 2024 (Accountants and Auditors Appeals Board Rules, 2024).